da sipati picha siku we utayokufa mana hivyo tu kanumba je wewe si ndo na watu wengine watakufa so big up kazi nyema so now huna mpinzani toka mzki uanze sijawhi kuona mtu kupendwa namna hiyo piga kazi toka nje ya tanzania neda nje kwa akon so hapa unapoteza tu muda hizi sizo level zako bana so we ndo mfalme wao hapa bongo
WATU WANGU WA NGUVU WA DAR HII KWA MARA YA KWANZA TOKEA WIMBO HUU UTOKE WA MUZIKI GANI.......JMUMAMOSI HII TAREHE 18.5.2013 PEMBENI ATAKUWEPO NAY WA MITEGO THE TRUE BOY WITH MKONG'OTO JAZZ BAND KULIA NTAKUWEPO MIMI MTOTO WA KIMANYEMA,SUKARI YA WAREMBO PAMOJA NA KUNDI ZIMA LA WASAFI.... KUHAKIKISHA TUJUE KATI YA HIP HOP NA BONGOFLEVA NANI ZAIDI...!! USIKOSE PALE PALE KWENYE UKUMBI WAKO LUKUKI DAR LIVE KWA KIINGILIO CHA 10,000/= TU KUANZIA SAA 1 USIKU HADI MAJOGOOO...!!
kwakweli
ReplyDeletewatu
wanakukubali
kwa
unachokifanya
Umejipanga vizuri dogo kamua bt usisahau ulipotoka uwape msaada wa nguvu underground bila kujali kipato chao!!
ReplyDeleteUmetisha xana raiiiiis wa wasafi!!! U rock jembeeeee.......hollah!!!
ReplyDeleteda sipati picha siku we utayokufa mana hivyo tu kanumba je wewe si ndo na watu wengine watakufa so big up kazi nyema so now huna mpinzani toka mzki uanze sijawhi kuona mtu kupendwa namna hiyo piga kazi toka nje ya tanzania neda nje kwa akon so hapa unapoteza tu muda hizi sizo level zako bana so we ndo mfalme wao hapa bongo
ReplyDeleteget some english tracks sasaa wamarekani wakuelewe mnyamaaa
ReplyDeleteheshima yako bro!!no body like you kwa sasa tanzania,,,UMETISHA KIUKWELI.Platnum baby
ReplyDeletewewew ni mkali sku zote mimi nimesha sema mpaka nimechoka brada wewew ni mkLI
ReplyDelete