ANGALIA KIPANDE HIKI CHA VIDEO,WASAFI WALIPOINGIA STEJINI
Watu wangu wa masasi walikuwa na mzuka sana...
Securty walikuwa na kazi ya ziada sana,kuwazuia watu kutokupanda stejini coz kila Fans alitakakuimba,kucheza,kupiga picha na mimi kwa wakati mmoja. SINA LA KUSEMA,JIONEE MWENYE VIDEO HII KISHA UNIAMBIE WEWE...
JIONEE JINSI SECURTY ALIVYONUSULIKA KUPIGWA NA FANS,BAADA YA KUMZUIA HASIPANDE STEJINI......
Mzuka umeishapanda natamani nitoe nguozote...
Jamani,sijui huyu dada alitaka kufanya nini mmmmh!
Ilinibidi nitumie nguvu za ziada,kujitoa kwenye mikono ya Mrembo huyu
Ilibidi Polisi waingilie kati na kuwasaidia security baada ya kuonesha kuzidiwa nguvu na Fans...
Baada ya show.....hapa niko hoi kinoma
Namshukuru sana Mzee Mustapha,Mkurugenzi wa Emirates Hall
WATU WANGU WA NGUVU WA DAR HII KWA MARA YA KWANZA TOKEA WIMBO HUU UTOKE WA MUZIKI GANI.......JMUMAMOSI HII TAREHE 18.5.2013 PEMBENI ATAKUWEPO NAY WA MITEGO THE TRUE BOY WITH MKONG'OTO JAZZ BAND KULIA NTAKUWEPO MIMI MTOTO WA KIMANYEMA,SUKARI YA WAREMBO PAMOJA NA KUNDI ZIMA LA WASAFI.... KUHAKIKISHA TUJUE KATI YA HIP HOP NA BONGOFLEVA NANI ZAIDI...!! USIKOSE PALE PALE KWENYE UKUMBI WAKO LUKUKI DAR LIVE KWA KIINGILIO CHA 10,000/= TU KUANZIA SAA 1 USIKU HADI MAJOGOOO...!!
mmmh ulikua na kazi ya ziada...shoo kama hz inabidi uanza kwanza na gym!!!
ReplyDelete