Pages

Subscribe:

Search This Blog

Loading...

Sunday, July 1, 2012

Nikiwa kwenye Interview ''Jogoo Fm'' ndani ya Songea

Hapa nikisalimiana na Presenter wa Jogoo Fm
Nikisikiliza swali kwa umakini kutoka kwa mmoja ya watangazaji...
Mmmmh! aliniuliza kwa umakini sanaaaaa!


Nikijibu swali la msikilizaji aliyepiga sim,nakutaka kujua nawasaidia vipi
wasanii wanaochipukia..
Nikiendelea kujibu maswali....

Doooh! Maswali mengine bhana! Ilinibidi nicheke....
Mnyama Moses Kunambi alikuwa ndani ya nyumba...
Maswali ya wasikilizaji yalikuwa pasua kichwa Mmmmh! ni vicheko kila wakati
Hapa nikiwa na Mkurugenzi wa Jambo Lee Club
Tukipitia baadhi ya sms za wasikilizaji...
Nikisikiliza swali kutoka kwa Msikilizaji...
Wasafiiiii!

0 comments:

Post a Comment

Diamond Videos

Loading...