Pages

Subscribe:

Search This Blog

Loading...

Sunday, December 2, 2012

THE MAKING OF NATAKA KULEWA (MUSIC VIDEO)

Haya ni maandalizi ya awali yakifanyika,Mafundi wakifunga vyombo vya muziki n.k
Director Raqey toka I-VIEW akifanya yake pia...
Hawa ni baadhi ya Models waliyoshiriki katika Video hii....
Esma Khan
Lady Naa
Super Model Nance
Jully
Hapa Wasafi tukitupia nini na nini...
Mose Iyobo
Dumi Utamu
Mose Iyobo,Emma Platnumz & Rama (Wasafii)
Hata mimi kiti hiki kilikuwa kinanihusu pia....


Nikifanya Interview na Martin Kadinda

Me,Raqey & Martin
Ndio kwanza shughuri imeanza ....Platnenga tena nikujipigia tu Drums


Mose Iyobo




Emma Platnumz

Dumi Utamu





Nisha kageuka kuwa Pedeshee wa Kike nikumwaga minoti tu LOL!
& Ma` Sister Esma
Hawa ni Wazee waliyoshiriki pia kwenye Video hii

7 comments:

  1. Umetisha bwana Nasibu yaani nywele Kama Jimmy Hendrix... Beautiful.

    ReplyDelete
  2. HII ITAKUWA POA SANA www.filexmmari1994.blogspot.com

    ReplyDelete
  3. team wassafy.. mnafanya yenu... inapendeza sana. i got yo back bby

    ReplyDelete
  4. Ipo pouwa
    PAMOJA WE CAN via
    www.wegambanews.blogspot.com

    ReplyDelete
  5. yaani makila kenga felengwa,kila la kheri wasafii.

    ReplyDelete

Diamond Videos

Loading...