Pages

Subscribe:

Wednesday, June 27, 2012

Show yangu ya Vodacom in Moro` ilikuwa na ujazo huu.....

Nautizama mji wa moro kwa umakini ili nikirudi Dsm nipate
cha kumuhadithia Mama Nasibu...
BBM na Twitter kama kawaida.
Sikilizeni niwaambie wasafi wangu hii show sio ya kitoto
fanyeni kweli.
Inakuwaje Dimpozi shwarii?

Dimpozi & Platnumz
Nipo na msafi wangu
Nawakubali sana Fans wangu....
Mida ya kazi sasa utani pembeni....
Nimpende nani?
Mnasemaje nimpende nani? au nimewasikia vibaya?
B12 & Zero Eti raia wanasema nimpende yule dada mwenye.....?
Fans
Nawaogopa sana watoto wa mjini wasije wakaniliza.....
Fans
Eti nani amenuna? Nauliza nani amenuna? Baaaaaaaasi!
New style to my Fans
''Nimemaliza''
Baada ya kazi vijana wakijipongeza kwa kutimiza agizo langu
Mmmmh! Mdogo wangu vp mbona umeninunia au nikupishe!?
Ona jini kisirani kaingia kwenye utamu wa penzi langu!
B12 hii show ilikuwa tayt Weeeeeeeh!
 
Fans wakilichungulia gari tulilopanda....
Kimenuka tayari ngoja niamke niwasalimie yaishe....

Monday, June 25, 2012

A-Town: Walinipokea kwa style ya kipekee sana....

Hapa ni nje kidogo ya Reseption...

Platnumz...

Nikiwa kwenye room yangu...

Hisia zinanipeleka mbali sana!
Nikikagua jukwaa mapema kaba ya show...
Nikifundishwa kupiga vyombo vya muziki na Boss Ruge Mutaba...


Nikiendelea kupata somo kwa uapande wa upigaji Drams...























Sijasahau kugonga kiki ni muhimu sana...
Maandalizi ya jukwaa yakiendelea...
Upangaji wa viti ukiendelea....

Nikitupia unyama wangu na Usafi uendelee!



 Perfume kwa sana tu,msafi tena nisinukie mmmmh!

 Navaa hii unauliza tena!?

 Tulia basi nimalize kutupia kitu cheusi utoecomment yako!


 Kuna mwenye swali tena?

 Baaaaaaaasi!

Wasafiiiiii!




 



Meneja Papaa na Tino Muya walikuwepo pia...

Wasafi wangu juu ya Steji

Nilikuwa sijui kamwambiee....

Ngoja nivue koti niwaonyeshe unyama...

Regremaa! Regremaa!

Twende kazi sasa hata mimi nayaweza...






Msinione nalia,mwenzenu nalia na mwengi!


Eti nani amenunaa? nauliza nani amenuna?

Miguu ya Bia sasa ilipendezajee?

Unyama Unyamani tu,hapa kazi....

Tukieleke chumbani baada kufanya show....

Wasafi wote wako hoi,kwa kazi nzuri/nzito iliyofanyika kwenye steji....

Tukipokea pongezi kutoka kwa Papaa.

Diamond Videos

Loading...