Tuesday, July 31, 2012
Saturday, July 14, 2012
Hii ni Tour yangu nzima niliyoifanya Masasi....
| Mpango mzima ulianzia kwenye P.A |
ANGALIA KIPANDE HIKI CHA VIDEO,WASAFI WALIPOINGIA STEJINI
| Watu wangu wa masasi walikuwa na mzuka sana... |
JIONEE JINSI SECURTY ALIVYONUSULIKA KUPIGWA NA FANS,BAADA YA KUMZUIA HASIPANDE STEJINI......
| Mzuka umeishapanda natamani nitoe nguozote... |
| Jamani,sijui huyu dada alitaka kufanya nini mmmmh! |
| Ilinibidi nitumie nguvu za ziada,kujitoa kwenye mikono ya Mrembo huyu |
| Ilibidi Polisi waingilie kati na kuwasaidia security baada ya kuonesha kuzidiwa nguvu na Fans... |
| Baada ya show.....hapa niko hoi kinoma |
Namshukuru sana Mzee Mustapha,Mkurugenzi wa Emirates Hall
kwa kusababisha Wasafiii kufanikisha show hiyo... |
| Reactions: |
Thursday, July 12, 2012
Diamond's Performance in Ziff Festival Zanzibar
| Hapa general Diamond nikiingia ukumbini na full Security toka kwa jesh la polisi la Zanzibar |
| Jeshi zima la Wasafiii likiwa tayari kabisa kwa kui'vunjavunja stage |
| Before kwenda stage ikabidi kwanza nifanye interview na Capital Tv.. |
| Eb niambie huyu bint wa kiAsia alovaa nguo ya pink umemuona wapi..? |
| Skuzote kabla ya kufanya chochote napendaga kumtanguliza mwenyezi Mungu mbele.. na naamini ndio nguzo yangu pekee na ndio inayonifanya hata niwe hapa nilipo |
HIVI NDIVYO UNYAMA ULIVYOANZA KWENYE STEJI,JIONEE JINSI FANS WALIVYOTUPOKEA |
| On Stage sasa |
| Huu ndio baadhi ya umati ulioudhuria katika show yangu ya Ziff Festival Zanzibar |
| Wakati mwingine huwa nahisi kama mashetani yamenishika na kujikuta nalia kweli stejini |
| Mi hapa sitii neno....Lol! |
| Wanasema music ni moja ya kazi amabayo licha ya kua uko kazini ila inakupa burudani pia wakati uifanyapo kazi hio |
| Nilikua kama Cristian Ronaldo napiga miguu yote miwili kuimba na Piano Pia |
| Wanasema gym ni moja ya kitu muhim sana kwa mwanamuziki, hufanya hata ukiwa stage ukivua shati upendeze na kuvutia mbele za watu... do you think it's true? |
| Ma baby say's Mgongo wangu ni moja ya kitu kinachomfanya Anipende sanaaaaaaaaa...... |
| Niwashkuru jeshi zima la Polisi la Zanzibar na security wote walokua wakihakikisha usalama juu yangu na team yangu nzima ya Wasafi |
| Dha! maskini hawakutaka hata niingie kwenye gari walipenda hata nibaki japo tuongee mawili matatu lakini ndio hivyo tena management haikuniruhusu....shaaaaaaaaaaaa...! nikasepa |
| Reactions: |
Subscribe to:
Posts (Atom)


