Pages

Subscribe:

Friday, August 24, 2012

Monday, August 6, 2012

After only one swimming lesson i`m now a PRO


Most of the time nikiwa free hutumia muda wangu kuwa kwenye maji,
na hii hunifanya nipate mawazo na Akili mpya ya muziki na Maisha kwa ujumla
lakini before nilikuwa sijui kabisa kuogelea hata kidogo nilikua mkaaji tu




Dah! kuna jamaa si akanishtukia kuwa sijui kuogelea
Ikanibidi nianze kupewa somo
Dah! alivyoniachia nikanywa vikombe saana...
Uh! eti baadha ya shurba yote akaniambia niendelee tu kujikaza.... mpxiiiiiiuu....

Duh! kweli akuna alozaliwa anajua ghafla si nikawa mnyama...
piga sana maji kama samaki
Na mgongo juu
Weeeeh...
Bhaaaaaassss....
Das my baby`s Favourite Picture.....eti akiona anajisikia ku co...e! LOL





Diamond Videos

Loading...